Mtoto wetu Lorain Cosmas Salufu kesho tarehe 22/06/2011 anatimiza miaka 10. Sisi wazazi wake baba Eng. Cosmas Salufu na mama Theresia Salufu pamoja na wadogo zake Nancy na Camilla tunamtakia maisha mema ya mafanikio na yenye kumpendeza Mungu afanikiwe katika masomo yake pale St. Anne Marie Academy anakobukua grade five.
Home
Unlabelled
hepi besdei ya kuzaliwa lorain cosmas salufu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
HEPI BESDEI BINTI
ReplyDelete