Napenda sana kumshukuru Mungu nimetimiza miaka 24. 
Mimi ni David Munisi,niko Manchester UK.
 Ni  mdau mkubwa sana wa globu yetu ya jamii!!
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2011

    mchagga utamjua tu, nyama kwenda mbele hata kama ni aghaibuni! huo ni mguu wa mbusii au?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 21, 2011

    Aise Mura, Poti naona umetundika ire sare yetu ya kure sirari kupitia Tarime.
    ira ongera Mura.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 21, 2011

    happy birthday mdau! ila usisahau ukaja na hilo koti huku bongo maana wanajeshi wakikuona utakiona cha moto

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 21, 2011

    Dogo hiyo Fosters hapo pembeni kali mno hata kama una nyama choma kufa mtu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...