Mkuu wa kitengo cha Mahusiano wa kampuni ya Vodacom Tanzania Nector Foya katikati akiwaonyesha Naibu  Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Placidus Luoga,na Mkuu wa kitengo cha Mauzo Vodacom m-pesa FranklinBagalla bango litakalotumika kuelimisha umma njia za ulipaji kodi kupitia huduma ya Vodacom  m-pesa wakati wa utambulisho rasmi wa huduma hiyo kwa waandishi wa habari 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 15, 2011

    Yashika kasi na sio yasika kasi misupu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...