Solo Thang "Ulamaa" kapitia na kaona mengi mno yaliyojiri na yanayoendelea kujiri kwenye ulingo wa Hip Hop ya Bongo. Kama kawaida, tunataka wasanii chipukizi, mashabiki wa Hip Hop na Solo Thang na Watanzania kwa ujumla wawe wanapata taarifa sahihi kutoka kwenye vinywa vya wahusika wakuu.Ni makala ndefu kiasi — kama historia fulani hivi — ila tumeicha kama ilivyo kwasababu ina mambo mengi muhimu na itabidi labda yabakie kwenye maandishi, ili mambo yasije kuchakachuliwa huko mbeleni.
Sote tunajua kuwa Solo akiamua kutuliza kichwa na kuandika lazima atakuja na vitu vya uhakika vya Hip Hop. Lakini hapo kati aliamua kufanya aina nyingine za muziki. Tumeamua kumfatufa na kumuuliza maswali magumu, ambayo aliyajibu kwa ufasaha.
Mahojiano yanapatikana www.tzhiphop.com.


Big up mtu mzima!
ReplyDelete