President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete welcomes to The State House the Chief Executive Officer of Symbion Power Company Mr. Paul Hinks today. Below the Presidents in talks with Mr Hinks

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. safi sana rais kikwete,jitahidi nchi yetu ipate umeme wa kudumu hautasahaulika hadi mwisho wa dunia, kidumu chama cha mapinduzi, zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa chama cha mapinduzi, idumu tanzania imara...god bless tanzania changa

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 03, 2011

    I just love the way this company is doing their business!I just love symbion!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 03, 2011

    "Likibuma tusiseme hatuwajui hii ni kumbukumbu nzuri sana wamefika mpaka Dar Es Salaam State House, leo tarehe 03/06/2011".
    Kumbukumbu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 04, 2011

    Haya ndio mambo ,kwanini imechukua mda mrefu sana ?watu wametaabika na shida ya umeme miaka,kitu ambacho kinaweza kutatuliwa kwa mda mfupi na hakuna tna kero ya kukatiwa umeme,maana unapatiwa huduma unayolipia na sio unalipia pasipokuwa na huduma.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 04, 2011

    Nyie vijana wenzangu mna pupa mnataka manna haipatikani hivi hivi. Hivi mnavyoviona leo havijakuwepo tulipozaliwa. Acheni ujinga maendeleo yaliyopatikana lazima tushukuru, kuponda ni kujifurahisha mwenyewe na msiojua shukurani, maana hata mungu hamjui kumshukuru sembuse binadamu mwenzako. Tukiwa pale chuoni kuna baadhi ya vijana wenzetu wana kila kitu, TV flat screen, fiji, jiko la umeme, pasi, carpet, mabirika ya maji ya moto kama yuko nyumbani. Lakini sio wote. Hivyo leo akimaliza chuo kikuu anataka awe tajiri kuliko alivyotoka nyumbani, anataka nyumba, gari, sofa set ya milioni 4, yaani ni ndoto za alinacha. Sisi ndio tunatakiwa kuwa wabunifu wa kuleta maendeleo pale walipofikia wazee wetu. Sisi tunaklaumu. Hivyo Huyo Slaa hapo 2015 atakapochukua madaraka, atafuta yote haya yaliyopatikana au ataanza wapi ili alete maendeleo, si ataanzia pale wenzake walipoachia. Wadanganyika kweli!!! lakini myonge nyongeni lakini haki iko pale pale.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...