Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Katiba na Sheria, wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Kilosa , Halima Dendego ( wapili kutoka kushoto) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Oliver Mhaiki (wapili kulia), ambapo Mkuu wa Wilaya huyo, alikuwa ni mgeni rasmi katika ufunguzi wa mkutano wa Baraza hilo , alimwakilisha Waziri wenye dhamana, Celina Kombani.Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii.
Home
Unlabelled
Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Katiba na Sheria wafanyika mkoani Morogoro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...