Wataalamu wa ujenzi wa barabara za jijini dar wakiwajibika ili kuiweka sawa keep left iliyopo mtaa wa msimbazi kariakoo jirani na kituo cha daladala cha Bahresa.haijafahamika mpaka sasa kwamba ni kiongozi gani mkubwa atakaekuja kuizindua keep left hii pindi itakapo kamilika.
Hii ipo pale karibia na klabu ya Simba nayo ukarabati wake umepamba moto.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 03, 2011

    Wenzenu wanapokuwa kwenye matengenezo kama hayo wanalizungushia utepe eneo husika ili hata mtu akiwa mbali ajue hapapitiki. Ninyi mnaweka vikoni vilivyojichokea!!! Hata vitu vidogo tu kama hivyo vinatushinda?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2011

    NAOMBA KUWAULIZA WADAU,HIVI "KEEP LEFT" MANAAKE NINI? AU TUNAITUMIAJE KWETU SISI? NA KWANINI TUITE JINA HILO KWANI HAKUNA JINA LA KISWAHILI?

    ReplyDelete
  3. Katika ujenzi huo hakuna bango la kutoa tahazari wala uzio,jee ikiwa mtu atazurika hapo katika kupita pita,iwe kwa miguu au kwa gari nani wa kumlaumiwa
    Insurence company wanafanya kazi gani ? Serikali jee katika kulinda usalama wa raia ?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...