Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 23, 2011

    Je hii dawa ya kuongeza uume kuna mtu yeyote aliyeitumia akafanikiwa?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 23, 2011

    Hivi wadau, kweni uume mkubwa ndo unaongeza ujuzi wa tendo? tafakari.

    ReplyDelete
  3. Wadau naomba mnisaidie. Nina mdogo wangu alienda kwa mganga wa kienyeji kwa ajili ya matatizo yake. Alipofika aliambiwa atoe sh. 50,000 na alipewa dawa akaambiwa akaitumie akisha itumia kesho yake arudi na vitu alivyoagizwa kupeleka pamoja na sh. 80,000.
    Sasa aliporudi nyumbani mimi niliviona vile vitu alivyopewa kwa mganga nikavimwaga maana mimi nimeokoka siamini waganga na nikamwambia asirudi tena kwa huyo mganga. Hivyo vitu hivyo hakuvitumia na hakurudi tena kwa huyo mganga.

    Lakini yule mganga ana namba ya simu ya mdogo wangu kwani alimjua kupitia kwenye mtandao kama hivi na wakawa wanawasiliana kupitia simu ya mkononi, hivyo yule mganga ameendelea kumsumbua mdogo wangu na anamwambia apeleke hela iliyobaki hata kama hajatumia dawa na amekuwa akimtishia kwamba atamualibia kazi yake.

    Sasa wadau naomba mnisaidie hivi huyu mdogo wangu afanye nini? mimi nimemwambia asipeleke chochote kwa mganga na mawasiliano yafe ikiwezekana abadilishe namba ya simu maana huyu mganga amekuwa kama mfanya biashara. Naomba mnisaidie jamani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...