Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (katikati) akizungumza na wana SEUMA - A -SACCOS (Segerea Ugombolwa Machimbo) ya jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe ya kuwagawia salio la shilingi 18 milioni ,Juni 15,2011. (kulia) ni Mwenyekiti wa SEUMA -A- SACCOS Leticia Banyasa. na (kushoto) ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Leonidas Gama.
Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akimkabidhi gawio mwanachama wa SACCOS -A-Ya SEUMA Segerea - DSM Asha Mwalimu.
Mama Salma Kikwete akiangalia baadhi ya kazi za mikono za SACCOS -A-ya SEUMA, Segerea Juni 15,2011 , pichani kulia ni mkuu wa SEUMA, Leticia Bany.
Mama Salma Kikwete akiangalia zawadi aliyopewa na wana SACCOS-A- ya SEUMA, Segerea -Dare es Salaam ,kwenye hafla fupi iliyofanyika hapo jana.
| Mama Salma Kikwete akipokea zawadi ya pakacha lenye muhogo kutoka kwa mwana SACCOS-A- SEUMA kutoka Segerea,jijini Dar es Salaam kwenye hafla fupi iliyofanyika hapo jana. |
| Mama Salma Kikwete akisalimiana na wanachama wa SACCOS ya SEUMA-A-,Segerea jijini Dar es Salaam. |
Wana SACCOS -A-ya SEUMA Segerea jijini Dar wakishangilia hotuba ya Mama Salma Kikwete.(Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO).




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...