Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi mdogo wa Misri nchini Tanzania anayeishi Zanzibar,Walid Mohamed Ismail,IKulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiagana na Balozi Mdogo wa Misri nchini Tanzania anayeishi Zanzibar,Walid Mohamed Ismail,IKulu Mjini Zanzibarleo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi Sudan nchini Tanzania AbdelBagi Hamdan Kabeir,alipofika IKulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi Sudan nchini Tanzania AbdelBagi Hamdan Kabeir,alipofika IKulu Mjini Zanzibar leo. Picha na Ramadhan Othman Ikulu,Zanzibar.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...