Mama Salma Kikwete (kushoto ) akiongea na baadhi ya wake wa viongozi wa kitaifa kutoka nchi  za Afrika wakati walipokaribishwa kwenye hafla ya chai ya jioni na mke wa Waziri Mkuu wa Malaysia   Datin Paduka Seri Rosmah Mansor (kulia)  nyumbani kwake Putrajaya Malaysia jana. Wengine ni   Mke wa Makamu wa Rais wa Kenya Mama Pailine Kalonzo (nguo ya Blue sky) pamoja na mke wa Waziri Mkuu wa Lesotho Mama Mathato  Mosisili (mwenye nguo ya mistari). 

Kwa picha zaidi na Mwanakombo Jumaa wa MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...