Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 17, 2011

    Jamani madam hongera kwa kutimiza miaka kadhaa, mi nakufiil bana si mchezo uko juu. Na mungu akubariki.
    However, hivi Jaydee amezaliwa lini au ni private issue?? maana kwa superstar duniani kama Jide wetu hapa bongo basi funs wake tulitakiwa tuwe tunajia in and out of Jaydee toka kazaliwa mpaka ameingia kwenye fani ....! sio siri mi napenda kujua hili
    WADAU NIJULISHENI...!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 17, 2011

    Acha umbea si nasikia wanawake hawapendi miaka yao ijulikane hasa inapokaribia 30's

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 17, 2011

    sio wanawake tu kwa dunia ya sasa hakuna mtu yeyote awe mwaume au mwanamke hakuna hata mmojawapo anayetaka miaka yake ijulikane na sijuii ni kwa nini hasa labda ni kukwepa kuonekana mkubwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...