Mkoa wa Lindi unatarajia kumpata mrembo wa kuuwakilisha mkoa huo katika mashindano ya kumtafuta mrembo wa kanda ya Mashariki na hatimaye katika ngazi ya taifa ambao mwaka huu lazima kieleweke.
Miss Vodacom wa Lindi mwaka 2011 mkoa wa Lindi atapatikana katika ukumbi wa Lindi Oceanic Hotel,Manispaa ya Lindi siku ya jumamosi tarehe ya tarehe 04 mwezi huu katika shindano litakaloshirikisha warembo 10 waliokuwa katika maandalizi kwa takribani wiki mbili sasa Akizungumzia maandalizi ya mchuano huo.
,Mratibu wa Miss Lindi Uncle Justine aliwataka washabiki wote kujitokeza kwa wingi siku hiyo huku akitahadhalisha wanajamii kuachana na dhana potofu iliyojengeka kwa jamii kuhusiana na Michuano ya Urembo kwa wasichana
Kaka huyo wa KWANZA KULIA amenikosha sana huyo.
ReplyDeleteSi mwenyewe unacheki yale mambo yetu yaleeee Mkubwa Mwenzangu?
Daah!