Bondia Yakubu Abdulhamani (kulia) akirusha makonde kwa mpinzani wake Halili Hamisi wa Matimbwa wakati wa mchezo wa kuhamasisha ngumi wilaya ya Iala jijini Dar es salaam leo Hamisi. alishinda kwa poin
Bondia Mohamed Matimbwa wa Matimbwa Boxing (kulia) akitupa konde bila ya mafanikio kwa Ibrahimu Class wa Amana Boxing 'Class' alishinda kwa K,O raundi ya nne wakati wa mpambano wa kuhamasisha mchezo wa ngumi mkoa wa Ilala uliofanyika katika ukumbi wa Panandi Panandi Ilala Bungoni jijini Dar leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...