Watanzania wameshiriki kikamilifu leo katika matembezi ya Susan G Komen - race for the cure - katika viwanja vya National Mall mjini Washington, DC. Matembezi haya ni kuhamasisha upigaji vita wa ugonjwa wa saratani ya matiti katika mkakati ulioasisiwa na Suzan G Komen, ambapo mwaka huu watu elfu arobaini wameshiriki
Team Tanzania baada ya matembezi hayo
Tanzania oye!
Walioandaa Team Tanzania Naleta Kassemba na aunty yake Joyce Kassembe
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...