Mdau Diana Kundasai Terry juu. Chini akiwa na mama yake Elizabeth Kweka Terry siku alipokula nnondozzz yake huko Maryland High School, Marekani wikiendi ilopita

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 07, 2011

    hongera mdau kwa kula nondo
    mdau KC MISSOURI

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 07, 2011

    Hongera Diana na Da Eliza. Mmependeza sana!

    Mdau- OHIO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...