Meneja Mahusiano, Bi.LULU MENGELE akikabidhi hundi ya shilingi milioni mia tisa na hamsini kwa ajili ya SACCOS ya ALAF.Huu ni mkopo wa riba nafuu kuweza kuwasaidia wanachama wangali wakiwa kazini.
Meneja wa Temeke,bwana EVANS MUSIBA akielezea umuhimu wa kujiunga na mfuko wa Pensheni wa PPF ambao huwasaidia wanachama wakiwa kazini.
Meneja Mahusiano,Lulu Mengele akielezea jinsi PPF ilivyofanya utafiti wa kuwasaidia wanachama kupata mikopo kwa njia ya SACCOS,na mnamo mwaka 2004 PPF ilianzisha rasmi mpango wa SACCOS wa kuwasaidia wanachama wake,leo ALAF ni saCCOS ya 31 kupata mkopo,kushoto kwa bi Lulu ni Erica Sendegeya Afisa mwandamizi kanda ya Temeke,Mkurugenzi Mkuu wa ALAF bwana PANKAJ KUMAR,meneja mwajiri MR.Sigala na meneja wa kanda ya Temeke Evans Musiba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...