Waziri mkuu wa uingereza,Mh. David Cameron akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Peter Kallaghe pamoja na Familia yake wakati walipohudhuria Parade maalum inayofanyika kila mwaka ya kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Malikia Elizabeth II.
Balozi Peter kallaghe akiwa na familia yake nje ofisi na makazi ya waziri mkuu wa nchi ya Uingereza Mh. David Cameroon, 10 Downing street, London.
Malkia Elizabeth ll akiwa katika gari linalovutwa na farasi wakati akiingia viwanjani hapo.
parade ya nguvu
Salam,
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter A. Kallaghe na familia yake walipata mwaliko maalum katika ofisi ya waziri mkuu nchini uingereza mheshimiwa David Cameroon 10 Downing street, London siku ya Jumamosi tarehe 11/6/2011 kuhudhuria "trooping The colour", Parade maalum ya kila mwaka ya kuadhilimsha siku ya kuzaliwa kwa Malikia Elizabeth II.
Asanteni, imetumwa na
Urban Pulse Creative






Wakati huo Malkia alikuwa akikagua gwaride na si kuingia uwanjani kwani aliingia uwanjani akiwa na mumewe. Kwenye picha hapo juu mmewe hayupo alimuacha kwenye jukwaa.
ReplyDeleteBalozi huyu anapendeza sana na familia yake. So cool!
ReplyDeleteYa dey luk gud. e hepi famili
ReplyDeleteulaya hamna nyasi jamani maana kilasehem kumesakafiwa au?
ReplyDelete