Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt,Consolata Adam akiteta jambo na Mgeni rasmi, mkuu wa kitengo cha Elimu na Tawala,Prof G Mrema wa Chuo kikuu cha Mkwawa mkoani Iringa wakati wa tamasha kubwa la kukabidhi Tuzo na fedha kwa washindi wa Tuzo za GrandMalt Exellence Award 2011 kwa wanafunzi wa vyuo vilivyopo mkoani Iringa hivi karibuni.
Sehemu ya Washindi wa fedha taslim katika tamasha la Tuzo za GrandMalt Exellence Award 2011 lililofanyika mjini Iringa hivi karibuni wakionyesha hela zao walizoshinda.

Baadhi ya Wanafunzi na wakazi wa maeneo ya jirani wakimshangilia mwanamuziki wa Joh Makini alipokuwa akitumbuiza katika   tamasha la kukabidhi Tuzo na fedha kwa washindi wa Tuzo za Grand Malt Exellence Award 2011 kwa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu vilivyopo mkoani Iringa hivi karibuni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...