WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA AKISALIMIANA NA MBUNGE WA UZINI MH.MOHAMMED SEIF KHATIB KATIKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO (JANA) TAYARI KWA KUANZA KWA KIKAO CHA BUNGE LA BAJETI HAPO KESHO (LEO) KULIA NI MBUNGE WA JIMBO LA CHWAKA MH.YAHYA KASSIM ISSA

MKUU WA MKOA WA DODOMA MH.JAMES MSEKELA AKIMKARIBISHA WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA KWENYE UWANJA WA NDEGE DODOMA ALIPOWASILI JANA  ASUBUHI TAYARI KWA KUHUDHURIIA KIKAO CHA BUNGE LA BAJETI KINACHOANZA LEO DODOMA
PICHA NA MDAU NICHOLAUS MMBAGA PMO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...