Lady Jay Dee akimshukuru Mungu kabla ya kukata keki kwenye mnuso wa Hepi Besdei ya kuzaliwa kwake katika kiota chake cha maraha cha Nyumbani Lounge jijini Dar usiku wa kuamkia leo. Picha na Mo Dewji Blog
Lady Jay Dee akimlisha keki mai hazbendi wake Gadna G Habash wakati wa mnuso wa Hepi Besdei ya kuzaliwa kwake usiku wa kuamkia leo kwenye kiota chao cha maraha cha Nyumbani Lounge jijini Dar. Kwa mapicha mengine ya kumwaga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 16, 2011

    Ngoja ung'atwe huo ulimi ndo na kipaji cha kuimba kinaishia hapo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 16, 2011

    nice nice nice...lovely!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 16, 2011

    lady gaga

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 16, 2011

    Happy bethidei ya ngapi Komandoo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...