Bro Issa Assalam aleykum,
Naomba msaada tutani, nauza hili ndinga langu nina shida nauguliwa na ndugu yangu nataka kumsafirisha nje akatibiwe na hela sina hivyo kimfaacho mtu chake...
Gari lipo Arusha katika hali nzuri sana, limeingizwa Tanzania kutoka Dubai mwezi February 2011 na limelipiwa kodi zote, lina comprehensive insurance na matairi ni mapya kabisa. Kwa kujua bei na kuliona wasiliana na:
Stephen 0784670770.
Ahsante bro.
WEKA BEI UBAONI EBO?!!!!
ReplyDeletetuwasiliane email kikaputula@yahoo.com
ReplyDeleteMuuzaji wewe kweli?,
ReplyDeleteMbona taarifa nyingi muhimu hakuna?, katika sheria za biashara kuna kitu kinaitwa "Invitation to treat", wewe hukufanya hiki. Weka asking price, limesajiliwa dubai mwaka gani?, limeingia Tanzania likiwa na mileage gani?, je kuna service history?, Limelipiwa ushuru? , maana linaonekana kama lipo port, japo kwa arusha yaweza kuwa Namanga. Then utapa offer siyo unaweka habari za juu juu tu watu wanataka wakitumia credit zao kukupigia simu wanakuwa tayari na pre- information siyo tena kuanza kupata blah blah!
Haswa, weka bei ya kuanzia ili tujikadirie kama ni maelewano tutaishia wapi
ReplyDeleteNyinyi watoa maoni akili zenu ziko kama mfuko wa Rambo
ReplyDeleteSi wanunuzi wala nini mtu anauza chake na kaweka cont zake
pigeni simu kama wanunuzi
Mdau mitaa ya Kwegukwazi
Tumpe nafasi aseme bei na mwaka fasta
ReplyDeleteWabongo bwana kelele wengi mnaosema aweke "bei" hamna hata uwezo wa kununua godoro. Kama mnahitaji kujua ni kiasi gani si mpige simu.
ReplyDeleteMimi naona uandike haliuzwi.
ReplyDeleteWatoa maoni hapa kama wapenzi wa Simba! Mpira Midomoni!
ReplyDeleteGari linafaa sana kwa masubcontractor wa makampuni ya simu kwa kuendea kwenye minara yao aka site aka BTS.....Pigeni simu wanunuzi namba c hizo hapo kaweka? au ndo lazima ukoment?
ReplyDelete