Afisa Mtendaji Mkuu wa shirika la ndege la Precision Bw. Alfonse Kioko akitolewa damu kwa ajili ya kuchangia kwenye Mpango wa Taifa wa Damu Salama, wakati wa zoezi la utoaji damu kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo, lililofanyika ofisi za shirika hilo katika jengo la Quality Plaza jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
 Mfanyakazi wa Precision Air akijitolea kutoa damu katika ofisi za shirika hilo la ndege zilizopo jengo la Quality Plaza jijini Dar es Salaam.  
Wafanyakazi wa Precision Air wakijitolea kutoa damu katika ofisi za shirika hilo la ndege zilizopo jengo la Quality Plaza jijini Dar es Salaam. Zoezi hilo la kutoa damu ili kuokoa maisha liliandaliwa na Mpango wa Taifa wa Damu Salama Tanzania.  Chini wafanyakazi hao wakipatiwa ushauri nasaha kuhusu utoaji damu to kwa mtaalamu wa kitengo cha Damu Salama





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. ni kitendo cha ujasiri na uzalendo cha kuchangia damu na kuokoa maisha ya wenzetu na hata sisi kwa kuchangia damu hata sisi tunaweza kuhitaji katika matatizo kama ajali kwahiyo vijana tujitoe kwa wingi maana hatujui damu tunayochangia inaweza kutusaidia hata sisi au hata ndugu zetu....hata udom siku hiyohiyo waliweza kuchangia na zoezi bado linaendelea hadi jumapili kwa habar hiyo bofya link hapo chini

    http://josephatlukaza.blogspot.com/2011/06/zoezi-la-uchangiaji-wa-damu-chuo-kikuu.html

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 06, 2011

    mzipime jamani mwe!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...