President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete in conversation with Malaysian Prime Minister, Najib Abdul Razak in Putrajaya,Malaysia this morning. President Kikwete is in Malaysia to attend the three days 9th Langkawi International Dialogue(LID) held at Putrajaya city,Malaysia. The Langkawi International Dialogue(LID) is part of the Smart Partnership Dialogue that promotes principles and practice that will facilitate creative cooperation between Government and private sector for economic development.
Malaysian Prime Minister Najib Abdul Razak welcomes to his Putrajaya office, President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete this morning. The two leaders then held talks on various bilateral issues with focus on strengthening economical ties between Malaysia and Tanzania.photos by Freddy Maro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2011

    President Jakaya Kikwete or Dr. Jakaya Kikwete or Mheshimiwa Jakaya Kikwete or Mwenyekiti Jakaya Kikwete.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 21, 2011

    http://www.francisgodwin.blogspot.com/

    WAKAZI wa kijiji cha Pande wilayani hapa wameilalamikia halmashauri ya jiji la Tanga kwa kile wanachoeleza kushindwa kukamilisha makubaliano ya kuwalipa fidia baada ya eneo lao kugaiwa kwa mwekezaji wa kiwanda cha Tanga Cement ili aweze kuvuna malighafi.

    Akizungumza kwa niaba ya wananchi wa kijiji hicho,mwenyekiti wa muda juu ya kushughulikia suala hilo ambapo alisema hawaridhishwi na kiasi kidogo cha fedha walicholipwa kwani ni kinyume na makubaliano ya kutoa eneo hilo la makazi yao.

    Mwenyekiti huyo wa muda aliyejitambulisha kwa jina la Mohamed Musa alisema kwamba halmashauri ya jiji la Tanga imewarubuni wananchi wa kijiji cha Pande na kitendo cha kulipwa fedha kiduchu wanakifananisha na mazingira ya uchakachuaji wa haki zao.

    Alisema kabla ya wananchi wa Pande kukubali eneo lao kupewa mwekezaji huyo walikubaliana na halmashauri kwamba wanastahili kulipwa fidia kwa viwango maalum lakini walishangazwa na kufanyiwa vitendo ambavyo ni kinyume na makubaliano yaliyokuwepo.

    "Mpaka sasa ni sawa na kama hatujalipwa chochote kwani ni kiasi kidogo tu cha fedha ambacho tumelipwa huku tukipokea taarifa kuwa mambo ya sisi kufidiwa yamemalizika jambo ambalo halina ukweli hivyo mazingira haya hatukubaliani nayo"alisema Musa.

    Musa aliendelea kuelezea masikitiko yake juu ya hatua ya mwekezaji huyo kuendelea kuvuna malighafi kwenye eneo lao hali ya kuwa wanakiji bado hawajaweza kunufaika na uwepo wake kwa kufidiwa haki zao baada ya kuridhia kuyaacha makazi yao kwake.

    "Sisi tumedanganywa na ni dhahiri haki zetu zimedhurumiwa kwani hatujalipwa kama ilivyokuwa makubaliano ambayo tuliafikiana na halmashauri yetu,hivyo tuna kila sababu ya kuendelea kudai haki zetu ingawaje mwekezaji anavuna malighafi"alisema Musa.

    Kutokana na hali hiyo Musa alisema wananchi kwa umoja wao wanaandaa utaratibu wa kuwasiliana na vyombo vya kisheria ili akuangalia uwezekano wa kuweza kulishughulikia suala lao na kulipatia ufumbuzi ili haki zao zisiweze kupotea akisisitiza kulipwa fidia.

    Mgogoro huo wa ardhi tayari wananchi hao walipata kufikisha kwa mbunge wao wa viti maalum mkoa wa Tanga Amina Mwidau (CUF) ambaye alitaka uongozi wa jiji la Tanga kabla ya kutoa eneo hilo kwa mwekezaji ni vema kulipa fidia kwa wananchi na kuondoa tofauti zote ili kuepusha mgogoro kati ya wananchi na Tanga cement ambao wanataka eneo hilo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...