Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akizungumza na waandishi wa habari nje ya Kituo cha Polisi cha Centre jijini Dar es salaam mchana huu kuhusu sakata la kukamtwa kwa kiongozi wa upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ambaye bado anashikiliwa na jeshi hilo.Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akiingia kituo cha polisi cha Centre jijini Dar es Salaam mchana huu kufuatilia hatma ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Mh. Freeman Mbowe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 05, 2011

    VYAMA VYA UPINZANI INABIDI MUUNGANE KUWA KITU KIMOJA:MUONDOE UFISADI TANZANIA:KWA SISI TULIO NJE YA NCHI TUNACHEKWA NA WENYEJI WETU KWA JINSI NCHI INAVYOENDESHWA:
    MDAU USA

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 06, 2011

    Hakuna aliye juu ya sheria. Kutokutii amri halali ya mahakama haina uhusiano wowote na ufisadi au siasa. Ni suala la mtu binafsi. Maana anayeshitakiwa hapo sio CHADEMA mbali ni Mbowe na hata akionekana ana hatiya na kufungwa, sio CHADEMA itakachofungwa. Je mbona akina Slaa na Godbless Lema walienda mahakamani na mambo yakaisha????????. Mbowe yeye yuko busy na kutumikia wananchi wakati unatakiwa uende mahakamni. Unakamatwa then unaanza kulalamika siasa, ufisadi, CCM, majungu, nguvu ya umma itumike, n.k. Jamani hata hiyo nguvu ya umma si itaingia hatiani bila tatizo. Mnyika anataka nguvu ya umma ikavamie kituo cha polisi?? Halafu wakipigwa risasi za moto?? Polisi wauaji?? Jamani tuwe tunatafakari kwanza kabla ya kuitisha nguvu ya umma. Itafikia wakati hata jambazi akikatwa kama ni mfuasi wa CHADEMA basi tutahamasisha nguvu ya umma kwenda kumtoa polisi. Je huo ndiyo utakuwa utawala wa sheria ambao CHADEMA inaupigania????? Tujitahidi kufuata sheria na kuepusha harassment zisizokuwa za lazima.
    Mdau

    Mdau

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 06, 2011

    pole Mbowe

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 06, 2011

    Mbowe amejitakia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...