

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
VYAMA VYA UPINZANI INABIDI MUUNGANE KUWA KITU KIMOJA:MUONDOE UFISADI TANZANIA:KWA SISI TULIO NJE YA NCHI TUNACHEKWA NA WENYEJI WETU KWA JINSI NCHI INAVYOENDESHWA:
ReplyDeleteMDAU USA
Hakuna aliye juu ya sheria. Kutokutii amri halali ya mahakama haina uhusiano wowote na ufisadi au siasa. Ni suala la mtu binafsi. Maana anayeshitakiwa hapo sio CHADEMA mbali ni Mbowe na hata akionekana ana hatiya na kufungwa, sio CHADEMA itakachofungwa. Je mbona akina Slaa na Godbless Lema walienda mahakamani na mambo yakaisha????????. Mbowe yeye yuko busy na kutumikia wananchi wakati unatakiwa uende mahakamni. Unakamatwa then unaanza kulalamika siasa, ufisadi, CCM, majungu, nguvu ya umma itumike, n.k. Jamani hata hiyo nguvu ya umma si itaingia hatiani bila tatizo. Mnyika anataka nguvu ya umma ikavamie kituo cha polisi?? Halafu wakipigwa risasi za moto?? Polisi wauaji?? Jamani tuwe tunatafakari kwanza kabla ya kuitisha nguvu ya umma. Itafikia wakati hata jambazi akikatwa kama ni mfuasi wa CHADEMA basi tutahamasisha nguvu ya umma kwenda kumtoa polisi. Je huo ndiyo utakuwa utawala wa sheria ambao CHADEMA inaupigania????? Tujitahidi kufuata sheria na kuepusha harassment zisizokuwa za lazima.
ReplyDeleteMdau
Mdau
pole Mbowe
ReplyDeleteMbowe amejitakia
ReplyDelete