Rais mstaafu wa Ujerumani Dkt Helmut Kohl akikaribishwa na Bi. Rosemary Mwakitwange kwenye mkutano wa kuzungumzia mstakabali wa maendeleo nchini katika hoteli ya Movenpik jijini Dar. Mkutano uliandaliwa na taasisi ya maendeleo ya Ujerumani  ya Konrad Adenauer Siftung
Rais Mstaafu wa Ujerumani Dkt. Horst Kohler akiongea na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jitegemee ambao wamehudhuria mkutano huo hoteli ya Movenpik jijini Dar

Dkt. Horst Kohler  akiongea na mratibu wa mkutano huo Bi Rosemary Mwakitwange

Gavana wa Benki Kuu Profesa Benno Ndullu akiongea kwenye mkutano huo

Sehemu ya wadau waliohudhuria mkutanoni
 Wageni waliohudhuria mkutanoni

Viongozi wa dini na wa  siasa walikuwepo mkutanoni. 
Picha na Bakari Mwankufi wa Globu ya Jamii


PS: Samahani wadau kwa ulimi kuteleza. Jina ni Horst Kohler na sio Helmut Kohl kama ilivoandikwa awali. Asante wadau kwa umakini na kutustua
-Michuzi


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 16, 2011

    Samahani lakini huyo siyo Helmut Kohl, pia Kohl hakuwahi kuwa Rais wa Ujerumani bali alikuwa Chancellor. Huyo bwana ni Horst Köhler ambaye ni kweli alikuwa Rais wa Ujerumani na vilevile aliwahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa IMF.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 16, 2011

    Safi kabisa. Helmut Kohl aikuwa Chancellor ( read Waziri Mkuu ), mtemi wa kihafidhina ( conservative) ambaye kamwe asingethubutu kuhudhuria mikutano ya aina hii Tanzania!!! Helmut was the driving force for German Unification and the Current EU. Tafadhali check facts kabla ya ku post

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 16, 2011

    Ahsante mdau hapo juu kwa kukosoa, make hata mimi nilishangaa Helmut Kohl hafanani hivi.... Ni kweli huyo jamaa juu ni Horst Kohler. I guess brother Mithupu atarekebisha kosa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...