Miss Dar Inter College 2011,Rose Msuya akiwa katika pozz mara baara ya kunyakua taji hilo usiku huu katika ukumbi wa Sun Cirro,Sinza jijini Dar.
Miss Dar Inter College,Rose Msuya akiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa Pili,Bressiny Ngowi (shoto) na Mshindi wa watatu,Glory Peter.
Afisa Huduma na Bidhaa wa Vodacom Tanzania,Elihuruma Ngowi akikabidhi zawadi kwa Miss Vodacom Dar Inter College 2011,Rose Msuya kutoka Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) usiku huu katika ukumbi wa Sun Cirro,Sinza jijini Dar.
ifm wapo juu xana, daaaah... Watoto woooote wazuri ndo wanatoka paleee eeh?!!
ReplyDeleteJamani namba tatu ndo anatakiwa achukue taji coz ana shape ya kimiss kuliko wote...
ReplyDeletewewe unasema namba tatu unaonekana unapenda sana vimatako vimatako kidogo tu vimeonekana basi ukajua ndiye anafaa kuwa miss la hasha wakwetu kuna vigezo vingi pamoja uwelewa mpaka hapo umenielewa au bado wakwetu safari ni9 mbali au sio
ReplyDelete