Kocha Abdallah 'King' Kibaden akigawa viatu kwa mchezaji katika uwanja wa TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam leo asubuhi wakijifua kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wao wa Kombe la Shirikisho dhidi ya DC Motema Pembe utakaofanyika siku ya Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam
Sala kabla na baada ya tizi
Juu na chini wachezaji wa Simba wakijifua katikla uwanja wa TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam leo asubuhi






Mjiandae na kipigo!
ReplyDeletevipi matokeo?
ReplyDelete