Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Dk.Patrick Makungu akifunga mkutano wa wadau wa mtandao wa Intaneti kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam. 
 Washiriki wa mkutano wa wadau wa mtandao wa Intaneti wakiwa katika mkutano huo uliowashirikisha washiriki kutoka nje mbalimbali Duniani na kufanyika Kunduchi Beach hoteli jijini Dar es Salaam.
.Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA), Profesa John Nkoma (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa AfriNIC

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2011

    masahihisho ni Profesa P Makungu na siyo Dk. Mtake radhi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...