Waandaaji wa Tamasha la Nyama Choma jijini Dar,toka shoto ni Carol Ndosi,Della Ndosi na rafiki yao Omega Assey wakishoo lavu kwa pamoja wakati Tamasha hilo likiendelea katika viwanja vya Posta,Kijitonyama mchana wa leo.
Wakuu wa Kazi Kulia ni  Mkurugenzi Mkuu wa www.bongocelebrity.com Jeff Msangi na shoto ni Dj Bonny  Lov wakiwakilisha ndani ya Tamasha la Nyama Choma katika Viwanja vya Posta, Kijitonyama,  jijini Dar,  mchana wa leo.
Stori  kibao wakati wa kukata nyama vilivyo.Ni mwendo wa kukata nyama kwa kwenda mbele.
Mastelingi katika sekta ya uchomaji Nyama wako makini na kazi yao ili kuhakikisha kila mtu anapata kitu roho inapenda.

kwa picha zaidi za Tamasha hilo.
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 05, 2011

    dah!limefana fresh,ila ni wenye nazo ndo wanafaidi2, thats why i hate tz,huthaminiwi bila ki2,anyway soon ntatimua zangu,tuwaachie wenye nchi yao wafaidike

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 05, 2011

    umenichekesha anony wa 10.40am,eti soon utatimua zako. na ukitimua ukaenda kiwanja napo utaona huthaminiwi manake kuna kitu kinaitwa racism!! hahaha, utakuja kutuambia hapa kuhusu mamtoni kama ndo unakotaka kutimkia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...