Kocha wa Simba SC Moses Basena toka Uganda
Kuelekea kwenye mchezo wa marudiano wa michuano ya kombe la shirikisho ambapo wawakilishi pekee waliosalia wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa Simba Sports Club watakuwa wanavaana na timu ya Dc Motema Pembe toka Congo ( Jamhuri ya Kidemokrasia) Blog yako maalum kwa masuala ya michezo imeandaa uchambuzi mfupi wa baadhi ya mambo ambayo Simba wanapaswa kuzingatia ili kuingia kwenye hatua ya makundi ya kombe la shirikisho. Kupata full uchambuzi wa Shafiih Dauda 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...