Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin wa Fabak Fasion akiongea na waandishi wa habari kuhusiana na onyesho lake la mavazi ambalo ameshirikiana na na The Kilimanjaro Band (Njenje) liitwalo Usiku Wa Khanga Za Kale 2011 linalotarajiwa kufanyika June 25, 2011 katika ukumbi wa wa Salender Bridge Club jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni mbunifu wa mavazi Gabriel Mollel ambaye ameungana nae na kushoto ni mdhamini Bw. Thomas Kisura wa kampuni ya Vacation Afrika kutoka Marekani.
Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin wa Fabak Fasion akiongea na waandishi wa habari kuhusiana na onyesho lake la mavazi ambalo ameshirikiana na na 'The Kilimanjaro Band' (Njenje) liitwalo Usiku Wa Khanga Za Kale 2011 linalotarajiwa kufanyika June 25, 2011 katika ukumbi wa wa Salender Bridge Club jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Levis Paul kutoka kampuni ya Vacation Afrika, mbunifu wa mavazi Hiyari Maneno, mbunifu wa mavazi Gymkana Halali, Gabriel Mollel, Thomas Kisura pamoja na mbunifu wa mavazi Royal Mosses kutoka nchini Nigeria.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...