

Ulinzi mkali katika kituo kikuu cha Polisi Dar es salaam leo,alikoshikiliwa kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni,Mh. Freeman Mbowe.
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mungu wangu! akina ras makunja nao wapo na magitaa yao,tayari tayari kuanza mziki??????
ReplyDeleteMie kama wamemkamata bila ya makosa basi ni dhambi kubwa ila kama kafanya kosa basi kukamatwa ndio inavyotakiwa kwasababu yeye ni mmoja ambae anaezitunga hizo sheria ikisha avunje sheria ya kutoenda mahakamani au hata kumpeleka mdhamini wake ni vibaya kwasababu yeye ndio kiongozi anatakiwa awe mfano mzuri kwa wananchi hiyo kwa kiswahili sahihi ni dharau. Hukumu ndio haki yake na lakini isiwe kwa Chadema tu hii adhabu iwe kwa mtu yoyote bila ya kuangaliwa usoni ndio hapo maendeleo yatakapopatikana i wish nije kuwa kiongozi wa hii nchi manaake kuna watu wanajifanya hii nchi kama yao kwahivyo hata wakifanya kosa wanakuwa untouchable. I WISH
ReplyDeleteMdau
Polisi acheni kuwanyanyasa wapinzani.
ReplyDeleteJustice shall be done
ReplyDeleteSheria ifanye kazi yake na tumwogope Mungu kutekeleza hili kwa manufaa ya nchi
ReplyDelete