Kaimu Mwenyekiti wa Timu ya Serikali ya maandalizi ya utekelezaji wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania (TASAF), Peter Ilomo akiongoza kikao cha majadiliano kati ya timu hiyo na wadau wa maendeleo, inayojumuisha mashirika ya kimataifa, yakiwemo Benki ya Dunia na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Watoto (UNICEF) na Mpango wa Chakula duniani. Kikao hicho kilifanyika jana, ofisi za TASAF, Dar es Salaam. 
WADAU mbalimbali wa maendeleo wa ndani na nje ya nchi wakiwa katika kikao cha majadiliano kuhusu maandalizi ya utekelezaji wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), kilichofanyika makao makuu ya TASAF, Dar es Salaam.(Na Mpigapicha Wetu).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...