Waziri Mkuu wa Tanzania,Mhe. Mizengo Pinda akiwa kwenye picha ya pamoja nje ya viwanja vya Bunge na wanafunzi wa Chuo cha Ushirka na Biashara Moshi (MUCCOBS) ambao walifika Dodoma kutembelea Bunge wakati wa kusomwa kwa Bajeti 2011/2012 . Kutoka kulia ni Waziri Katiba na Sheria Bw. Rapheel Maghoa ,Pete Mushi (Naibu Spika) ,Marry -(Katibu wa Bunge) na Kutoka kushoto ni Aderson Rwela (Waziri mkuu) na Rogati Timanywa (Spika) -Picha na Nicholaus Mmbaga -PMO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...