Home
Unlabelled
yaliyojiri arusha leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh kweli siasa si hasa. Matukio kama haya yakifanyika nje ya ulingo wa siasa ni hatari kabisa. Tanzania tusipokuwa makini tunaelekea ambako si kwenyewe sasa. Viongozi wetu nawasihi sana tufanye maamuzi kwa kuongozwa na sheria lakini busara itumike katika kutafsiri hizo sheria. Mungu ibariki Tanzania.
ReplyDeleteNachukia ufisadi na naipenda chadema! Mashujaa wote na wakombozi wa wanyonge walipitia haya, mbowe Mungu akutie nguvu aluta continua.Bibi yangu kijijini ndo anaikera kila siku nikionana nae analalamika maisha magumu na jinsi wanavyonyangaywa mashamba na wawekezaji bila hata fidia na viongozi wapo lakini ikifika wakati wa uchaguzi bado wanamrubuni na fedha na bado anawapa haohao kura.
ReplyDeleteViva Chadema Viva, iko siku wanyonge wataelewa tu tunachoongea!
Mungu Ibariki Chadema, Mungu Ibariki Tanzania.
Naona watu hata kazi za kufanya huwa hawana. Yaani hiyo ni Tanzania. Hapo unategemea umaskini utaisha kweli?
ReplyDeletesitoacha kutoa elimu ya bureee kwa ankal,narudi kwenye mada ya biasness.sasa chadema inavyaelekea wameshinda kesi,sasa ankal hata kichwa cha habari? je unajua ni mangapi yamejiri arusha mpaka nibomoe ubongo wangu kugundua kilichotokea nikiwa huku nje ya tanzania yangu?ila ungekua mtaalamu haswa wa habari ingekuletea hishma zaidi unapotoa habari kwa waamini mungu,wasio amini,wa ccm,wa tadea na ccj,walio nchini na wasio.inawezekana inawasumbua sana watu walio nje ya nchi kwakua huona wachache sana huwa na nidhamu hii ya uoga.lakini kesho kutwa utaandika tu,kwani mcheza ngoma hujipaka mwenyewe masizi,akipakwa na mwingine ni kumchafua.usiogope ajira bado ipo...
ReplyDeletehebu someni sheria na hasa katiba, sio mnashabikia. Hii Chadema walipanga kusudi ili wapate fursa ya kuoneshwa katika luninga. Dolla alizopewa Slaa kule marekani zinaanza kufanya kazi. Mpelekeeni bill ya usafiri Mbowe anasema fedha imetumika kumsafirisha, hajui kuna fungu la kusafirisha mahabusu na gari maalumu wameekewa la kupelekwa mahakamani na kurudi. Jinga we!!!!! Sio wote wadanganyika.
ReplyDeleteKweli kabisa! Wandugu lazima tujue sasa rangi halisi ya Chadema. Nashukuru sana kwa mbowe kuachiwa kwani walitaka kufanya scene ili waonyeshwe kwenye runinga. sasa wananchi lazima wawafahamu na wawajue uwongo wao na mbinu zao za kutaka kupaa kwa damu ya Watanzania. Yamkini iweje wao kupenda fujo kila kitu? Iweje watake kusema kuwa wako juu ya sheria? Watanznia wote wana haki na wako chini ya sheria tuliojitengenezea . SASA TUSEME HAPANA KWA CHADEMA! HAPANA KABISAAAAAAAAA
ReplyDelete