Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo (kushoto ) akibadilishana hati ya msaada wa shilingi bilioni 273 na Balozi wa Denmark nchini Bjarne Sorensen (kushoto) leo jijini Dar es salaam kwa ajili ya kusaidia bajeti ya serikali, elimu na kuimarisha utawala bora nchini.
Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo (kushoto ) akibadilishana hati ya msaada wa shilingi bilioni 318 na Balozi wa Korea Kusini Young hoon Kim (kulia)  leo  jijini Dar es salaam kwa ajili ya ujenzi wa njia ya usambazaji umeme kutoka Iringa, Shinyanga , ujenzi wa Majengo ya Chuo Kikuu cha Tiba cha Muhimbili na maandalizi ya vitambulisho vya kitaifa.Picha na Tiganya Vincent - MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...