Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akichuma karafuu kama ishara ya uzinduzi kwa zao kuu la uchumi wa Zanzibar huko Mkanyageni Sijeni Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara maalum.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akikagua shuhuli za uatikaji wa miche ya mikarafuu  katika kitalu cha mwanatojo,wilaya ya chake chake  Pemba leo akiwa katika ziara kisiwani pemba kuzindua uvunaji wa zao la Karafuu kwa msimu huu.
Ras wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Kamati Maalum Task Force,ambayo itasimamia zoezi zima la uchumwaji wa karafuu katika  ukumbi wa kiwanda cha Makonyo,kisiwani Pemba jana,alipoizindua rasmi. Picha na Ramadhan Othman Pemba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...