Dkt.  Arnold Chiwalawala akifanya vitu vyake vya muziki wa 
asili wa Tanzania kwenye tamasha hilo
Bendera yetu ikipepea juu kutambulisha kuwepo 
kwa msanii wa Tanzania tamashani

MTANZANIA DKT. ARNOLD CHIWALALA AIWAKILISHA TANZANIA KWENYE TAMASHA LA 'INTERNATIONAL FOLKLORE FESTIVAL BALTICA 2011. LILILOFANYIKA tarehe 1 hadi 7. 7 MWEZI HUU  MJI MKUU VILNIUS, NCHINI LITHUANIA. KWENYE TAMASHA HILI DR ARNOLD PAMOJA NA KUFANYA SOLO PERFORMANCES, ALITOA MIHADHARA NA KUENDESHA WARSHA JUU YA MUZIKI WA KIASILI WA KITANZANIA. 

KWA HABARI ZAIDI JUU YA TAMASHA HILO ANGALIA LINK HII: 
http://baltica.llkc.lt/index.php?-480717084

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Safi sana, na hongera sana kwa kukuza sanaa yetu ya asili ugenini.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 16, 2011

    Hongera sana kk Arnold kila la kheri katika maisha yako na family

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 16, 2011

    Hongera Dokta, tunashukuru sana for putting TZ on the map

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...