Wabunge wa CCM wa mkoa wa Mbeya na kwengineko wakimuongoza Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauyem kuingia uwanja wa Rwandanzovwe mjini Mbeya kwenye mkutano mkubwa wa hadhara leo mchana
Home
Unlabelled
MKUTANO WA NAPE MJINI MBEYA WAFUNIKA, SITTA, OLE SENDEKA, DK. MWAKYEMBE, NYALANDU, MARY MWANKENJA NA PROFESA MWAKYUSA WAMPA TAFU YA NGUVU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
..ina maana Mh.SUGU anatisha kiasi hicho mpaka wapeleke ujumbe mzito hivyo kuweka mambo sawia??
ReplyDeletekwani huyu nape si aliteuliwa kuwa mkuu wa wilaya? sasa huo ukuu wa wilaya anafanya saangapi? maana kila kukicha ni mtalii wa ndani ya nchi anazurura tu huku na kule. kama yupo bize na utalii awaachie wengine kile kiti cha ukuu wa wilaya.
ReplyDeleteJe wamepata kibali cha polisi kufanya mkutano wa hadhara?
ReplyDeleteMbona vyama vingine vikiomba kibali hawapati kwa urahisi wanaambiwa wanatishia usalama wa raia!!!!!!!!!!!!!
Tangu lini sisiemu wakatumia uwanja huu kwa mikutano? Kwa nini walitumia uwanja wa Ruanda Nzovwe ilhali wao wanao uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine ambao wanawabania Chadema kuutumia? Nilidhani wangentumia uwanja wao, na sio huo wa serikali (uwanja wa shule ya msingi Ruanda Nzovwe)
ReplyDelete