Lotus wa BBA alikuwa mmoja wa wageni kibao waliofurika kushuhudia shoo ya vichekesho ya Evans Bukuku Comedy Club ukumbi wa Sweet Eazy, Oysterbay, jijini Dar usiku wa kuamkia leo
Evans Bukuku akichana watu mbavu kwenye shoo hiyo ya nguvu
Enika Bukuku na kundi lake wakiimba na kucheza kibao cha 'Sharobaro'
Dogo Pepe naye no nouma katika kukupa swaga za Uswazi
![]() |
Sauda Simba ndiye MC wa siku. Hapa akitumbuiza kibao chake kipya cha Jazz cha 'Fisadi' |
Kijana mtanashati, Ray, akijoki kuhusu kamati za ufundi mpirani. Yaani utacheka ufe...
Hongera Bukuku na vijana wao kwa kazi nzuri lakini JENGA TABIA YA KUZINGATIA MUDA - unapowaahidi watu kwamba onyesho litaanza muda fulani, basi fuata muda ulioahidi, acha uswahili. Wwatu wamelipa fedha zao nawe heshimu muda kwa kuwapa burudani inayozingatia muda.
ReplyDeletePia fanya mpango wa kualika Wachekeshaji Waalikwa ili wanogeshe onyesho, kuna wengi ambao wana vipaji lakini sio vibaya ukawapa nafasi angalau robo saa kila mmoja.