Rangi za Taifa zapendeza kwa kweli

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 06, 2011

    Tuliosoma miaka ya 70's mpaka 90's rangi hizo sasa hazina maana halisia.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2011

    Jambo, nikiona watu wanatumia rangi za bendera ya taifa, au wanaweka bendera hizo kwenye gari, bajaji hata kuvaa kwenye fulana za mpira nafurahi sana kwa kumkumbuka Maximo alivyokuwa anapenda tuipende Tanzania na kujivunia nayo. Tulipata wakati wa kuipenda.
    hivi Taifa stars kama timu ipo maana sijaisikia siku nyingi

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 07, 2011

    Mimi ni mgonjwa sana vidole vya mguu yaani nimeshampenda huyo dada kabla hata ya kumuona

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 08, 2011

    Jamani basi angalau angepata pedicured kwanza kabla ya kuuza mguu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...