Bendi maarufu ya mziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU, wakiwa katikakibarua sugu jukwaani uko Tübingen,ujerumani katika onyesho lilofanyika jumamosi 16.07.2011usikose kujipendelea bakuli la "Supu ya Mawe" at 
www.ngoma-africa.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 20, 2011

    vichaa wetu ktk anga za kutuliza ghasia..ffu,hongereeni sana kwa kazi njema mnayoifanya huko ughaibuni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...