Muendesha pikipiki akiwa katika mazungumzo na dereva wa gari hilo mara baada ya kutokea kwa ajali yao jioni ya leo.hapo yalikuwa yakifanyika maelewano ili kila mtu aendelee na mambo yake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2011

    Siyo kuelewana tu lakini ifahamike nani mkosa?

    Hao wenye pikipiki wanapenga kupita katikati ya gari mbili na mara wanagonga viyoo halafu haooooooo wamekwenda mbele kwa mbele!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...