Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Posta Tanzania,Bw. Sabasaba Moshingi (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kukabidhi msaada wa sh. mil. 1 kwa ajili ya kukarbati shule ya msingi ya Maisaka iliyopo Wilayani Babati,ambayoiliathiliwa na tetemeko la ardhi lilitokea Aprili,15 mwaka huu.Kulia kwake ni Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini, Mh. Kisyeri Chambiri
Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Posta Tanzania,Bw. Sabasaba Moshingi (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi kwa Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini,Mh. Kisyeri Chambiri (katikati) kwa ajili ya kukarbati shule ya msingi ya Maisaka iliyopo Wilayani Babati.Kulia ni Meneja Mahusiano wa Benki ya Posta Tanzania,Bi. Noves Moses.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...