Jumuiya ya wanamitandao ya jamii (social networks) nchini inachukua nafasi ya hii kumpongeza mwanahabari mpiganaji mwenzetu Jackson Mmbando (shoto)kwa kupata nafasi ya kupiga mzigo Airtel Tanzania kama bosi wa Mahusiano wa kampuni hiyo ya simu za mikononi.
Jumuiya inakutakia kazi njema na endeleza mahusiano yako mazuri na vyombo vyote vya habari ambavyo umekuwa ukifanya navyo kazi kwa ufanisi toka huko ulikotoka, na ambako pengo lako halitozibika kirahisi. Waswahili walinena, mnyonge mnyongeni ila  haki yake mpeni.  Kaka kazi unaiweza!
Kila la kheri wewe na familia yako mpya ya Airtel
Jumuiya ya wanamitandao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 19, 2011

    Michuzi si ndio alipokuwa siku zote au alikuwa wapi kabla ya hapo? Zain si ndio AirTel?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 19, 2011

    Huyu bwana alikuwa tigo kama Afisa Habari tu wa Kawaida. Naona amehamia Airtel na Kupata Shavu. Hongera kijana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...