UKRAINE
==========================================
NIGERIA
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani mayai hayo si lishe bora kwetu na kwa Wasomali! Hawana hata haya hao Wa-Ukraine kuchezea chakula wakati watu wanakufa njaa!
ReplyDeleteJamaa wanaingia na mayai bungeni kila siku.
ReplyDeleteNasikia kuna waheshimiwa hapa kwetu kuwa wana manati na vijiwe mifukoni kila mahali wanapokwenda, hasa wakiwa mjengoni.
Bado kidogo tu na bongo itafikia hali hii...
ReplyDeleteWizi wa mali ya umma ukiendelea, na maslahi binafsi ya kuzima umeme ili waheshimiwa wafanye biashara za generators!
Mh.Sugu utatuwakilisha kwenye hiyo session...
ReplyDeleteILI KUTENDEA HAKI ANKAL TUWEKEE BUNGE LETU NAFIKIRI PICHA SAHIHI NI WAZIRI WASSIRA AKIPIGA USINGIZI BUNGENI.
ReplyDeletebongo hawapigani ngumi wanalogana tu wanaongoza kwa uchawi mara utasikia sijui nani kaanguka bungeni kafa papohapo mara utasikia sijui mwiangine kafia hotel mwingine kafia gest uchawi umetawala bunge la wadanganyika
ReplyDeletehaloo hii kali, hata na kina mama wabunge nao ngumi mkononi.
ReplyDeleteunajua mtu inafika kiwango uvumilivu unakushinda, hoja zinatolewa lakini hakuna majibu ya haki, bottomline ni kuwa nchi haiendi, serikali ipo ipo tu
inabidi hata tz iwe kama hivi nigeria lol
NI TANZANIA PEKEE NDIO WATU WANACHEKEANA BUNGENI. KAMA WIZARA HAILETI MAENDELEO YALIYOKUSUDIWA NI LAZIMA WAZIRI AWEKWE KITIMOTO NA SIO UPINZANI TU BALI WABUNGE WOTE WENYE NIA YA KULETA MAENDELEO.
ReplyDeleteBado Tanzania, dalili ni nzuri maadam tumeanza kuzomeana na kufokeana, Tanzanian version of Bunge Action Movie is coming soon. DONT MISS!!!!
ReplyDeleteMbunge wa Uturuki alivyatua mbunge mwenziwe risasi bungeni. HAHAHA CHADEMA na CUF ndio wanataka kutupeleka huko. Subiri muda utafika maana watu wameshazoea kujichukulia sheria mikononi mitaani sasa kumebaki bungeni.
ReplyDelete