Home
Unlabelled
jacquiline awakawaka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
I do not think its a good idea to display unhealthy drinks together with young children. I would be pleased and happy if the kids were photographed together with fruits and fresh juice:)
ReplyDeleteHongera sana Jack,umependeza sana na wadogo zako.Hongera sana kwa kupokea Sacrament ya Ekarist Takatifu.
ReplyDeleteMama mdogo-Josephine Kapinga
beautiful.ila hio chupa nyingine ni mvinyo au?
ReplyDeleteHiyo chupa ya wine inafanya nini hapo??
ReplyDeleteDid they drink the bottle of wine? what a shame!! such a good photo has to have a bottle of wine. Please!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeletekwenda zako na unhealthy drinks, ni dhambi watoto kuwekewa soda? wangewekewa kilevi hapo ungesemaje?? si lazima hizo juisi zako hata soda zinatosha ni uamuzi tuu, fanya sherehe yako ndo uweke hayo masharti.
ReplyDeleteYani kwa wakatoliki ndio anaruhusiwa rasmi kulamba wine-mkate na divai. Go away with your sheria na dini zinazopingana na pombe ama chochote u think is best kwako.
ReplyDeleteAs from sasa mtoto atakula mkate plus kunywa mvinyo (divai) kanisani. Acheni kuchonga kwa kuwapangia watu maisha hasa kutokana na uelewa wenu mdogo juu ya imani za wengine na kudhani tunajua na pombe hairuhusiwi kuwa hapo.
live your life and my daughter will live our life
Gimmmmme a breaaaaaaaaaaaak
sasa kwa vile atakunywa mvinyo kanisani ndo uweke jichupa hapo ili kuonyesha watu kua mwanao kawa certified kua mlevi?? just think before replying people's opinion.
ReplyDeleteHE! HAYO MAJIBU NI WAZAZI WANAYATOA AU? MBONA INAONEKANA KAMA WAMEFIKIA KUHUSISHA KAULI YA DRINKS/VINYWAJI NA DINI? PICHA YA KAWAIDA TU ILA UKWELI UNABAKI PALE PALE, SODA SIO NZURI SANA KWA WATOTO NA HATA POMBE PIA. KUNA UMUHIMU WA KUFAHAMU KUWA TUNAWEZA KUJIFUNZA KUTOKA KWA WENGINE HATA KAMA KAULI ZAO ZINATUUMIZA HAIWEZEKANI MTU UKAJUA AU UKATENDA SAWA KILA KITU, HIVYO WAZAZI TUNAPOSHAURIWA, MABAYA TUYAACHE MAZURI TUYACHUKUE.
ReplyDeletesina lakushauri juu ya hao wazazi inaonekana mhusika hapendi kushauriwa... basi chukua hii... communio ni zaidi ya chakula na kilevi... ni sakramenti takatifu hivyo mzazi unajukumu kubwa kumlea mwanao kimaadili ya dini yake na hasa katika msingi bora na wewe ukiwa mfano ndani ya nyumba.. nawatakia wazazi wenzangu malezi bora kwa watoto wetu maana ulimwengu wa sasa...!
ReplyDelete