Akiwa na uso wa furaha kubwa Mdau Jacqueline Ndunguru na wadogo zake Godfrid Ndunguru na Gregory Ndunguru wakati wa mnuso mfupi ya kumpongeza  baada ya kufanikiwa kupokea sakramenti  ya komunio takatifu  huko Yombo - Buza  Dar es  Salaam. Mdau, Ernest.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 13, 2011

    I do not think its a good idea to display unhealthy drinks together with young children. I would be pleased and happy if the kids were photographed together with fruits and fresh juice:)

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 13, 2011

    Hongera sana Jack,umependeza sana na wadogo zako.Hongera sana kwa kupokea Sacrament ya Ekarist Takatifu.
    Mama mdogo-Josephine Kapinga

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 13, 2011

    beautiful.ila hio chupa nyingine ni mvinyo au?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 13, 2011

    Hiyo chupa ya wine inafanya nini hapo??

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 13, 2011

    Did they drink the bottle of wine? what a shame!! such a good photo has to have a bottle of wine. Please!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 13, 2011

    kwenda zako na unhealthy drinks, ni dhambi watoto kuwekewa soda? wangewekewa kilevi hapo ungesemaje?? si lazima hizo juisi zako hata soda zinatosha ni uamuzi tuu, fanya sherehe yako ndo uweke hayo masharti.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 13, 2011

    Yani kwa wakatoliki ndio anaruhusiwa rasmi kulamba wine-mkate na divai. Go away with your sheria na dini zinazopingana na pombe ama chochote u think is best kwako.

    As from sasa mtoto atakula mkate plus kunywa mvinyo (divai) kanisani. Acheni kuchonga kwa kuwapangia watu maisha hasa kutokana na uelewa wenu mdogo juu ya imani za wengine na kudhani tunajua na pombe hairuhusiwi kuwa hapo.

    live your life and my daughter will live our life
    Gimmmmme a breaaaaaaaaaaaak

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 13, 2011

    sasa kwa vile atakunywa mvinyo kanisani ndo uweke jichupa hapo ili kuonyesha watu kua mwanao kawa certified kua mlevi?? just think before replying people's opinion.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 13, 2011

    HE! HAYO MAJIBU NI WAZAZI WANAYATOA AU? MBONA INAONEKANA KAMA WAMEFIKIA KUHUSISHA KAULI YA DRINKS/VINYWAJI NA DINI? PICHA YA KAWAIDA TU ILA UKWELI UNABAKI PALE PALE, SODA SIO NZURI SANA KWA WATOTO NA HATA POMBE PIA. KUNA UMUHIMU WA KUFAHAMU KUWA TUNAWEZA KUJIFUNZA KUTOKA KWA WENGINE HATA KAMA KAULI ZAO ZINATUUMIZA HAIWEZEKANI MTU UKAJUA AU UKATENDA SAWA KILA KITU, HIVYO WAZAZI TUNAPOSHAURIWA, MABAYA TUYAACHE MAZURI TUYACHUKUE.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 14, 2011

    sina lakushauri juu ya hao wazazi inaonekana mhusika hapendi kushauriwa... basi chukua hii... communio ni zaidi ya chakula na kilevi... ni sakramenti takatifu hivyo mzazi unajukumu kubwa kumlea mwanao kimaadili ya dini yake na hasa katika msingi bora na wewe ukiwa mfano ndani ya nyumba.. nawatakia wazazi wenzangu malezi bora kwa watoto wetu maana ulimwengu wa sasa...!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...